November 8, 2014

LILIAN
Baada ya Sitti Mtemvu kuvua taji lake la Miss Tanzania 2014, sasa limechukuliwa na Lilian Kamanzima.

Lilian ambaye alishika nafasi ya pili ndiye anakuwa mrembo atayeiwakilisha Tanzania katika shindano la dunia.
Akizungumza na waandishi leo, Lilian amesema atawakilisha vizuri na atajitahidi katika maandalizi kabla ya kwenda London, Uingereza.
LILIAN AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO, KULIA NI MRATIBU WA MISS TANZANIA, HASHIM LUNDENGA.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic