MVUA YAVUNJA MECHI YA MTIBWA SUGAR, KAGERA, SASA INARUDIWA KESHO ASUBUHI Mvua imevunja mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Manungu mjini Turiani. Mechi hiyo ilichezwa kwa dakika 44 huku Mtibwa ikiwa inangoza kwa bao 1-0 lililofungwa na Ame Ali. Kutokana na hali hiyo, mechi hiyo imepangwa kurudiwa kesho Saa 2:45 asubuhi.
0 COMMENTS:
Post a Comment