Washambuliaji wawili wa Taifa Stars, Mbwana
Samatta na Thomas Ulimwengu wanatarajia kutua jijini Johanesburg, Afrika
kuungana na kikosi cha Taifa Stars.
Wawili hao wanatokea mjini Lubumbashi, moja
kwa moja ambako wanaitumikia klabu yao ya TP Mazembe ya DR Congo.
Tayari Stars imeweka kambi mjini
Johannesburg itakapoweka kambi kwa muda kabla ya kwenda kuivaa Swaziland katika
mechi ya kirafiki.
0 COMMENTS:
Post a Comment