Beki kisiki wa Real Madrid, Sergio Ramos amefikisha mabao 50.
Licha ya kuonekana kuwa ni mkabaji mzuri, Ramos amefikisha mabao
50 na kuingia kwenye rekodi ya mmoja wa mabeki wenye mabao mengi.
Beki huyo amefikisha mabao 38 katika La Liga, mawili katika Copa
del Rey.
Amefunga mabao 10 katika Spanish Super Cup na kwenye Ligi ya
Mabingwa Ulaya.
0 COMMENTS:
Post a Comment