|
Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa na kiungo wa West Ham, Alex Song wameibuka na daraja A kutokana na uchambuzi uliofanywa na wachambuzi wa soka wa DailyMail.
Mshambuliaji nyota wa Liverpool, Mario Balotelli yeye ameambulia F ikiwa na maana kuwa hana mchango mkubwa katika Ligi Kuu England inayoendelea.
|
Wengine ambao waliofanya vizuri ni Graziano Pelle wa Southampton aliyepata A pia, wakati daraja C limemuangukia Kocha wa Man United, Louis van Gaal.
Daraja D limekwenda kwa washambuliaji Kun Aguero wa Man City na Alexis Sanchez wa Arsenal.
0 COMMENTS:
Post a Comment