December 23, 2014

Kipa namba moja wa Yanga, Deo Munishi 'Dida' alikuwa mchezaji wa kwanza kumkaribisha Kocha hans van Der Pluijm siku aliyoanza mazoezi.


Pluijm amerejea Yanga baada ya aliyekuwa anainoa, Marcio Maximo, kutimuliwa.

Mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Loyola, Dida alikwenda moja kwa moja na kumfungulia mlango Pluijm, akamkaribisha na baada ya hapo akaendelea na shughuli zake.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic