PLUIJM AKIWA NA MKEWE PAMOJA NA BINTI YAKE |
Kocha wa zamani wa Yanga,
Hans van der Pluijm, hatimaye amepaa nchini Uholanzi.
Pluijm amesema amekwenda
kuijulia hali familia yake pamoja na kuangalia mechi kadhaa.
Pluijm ambaye anaishi
nchini Ghana aliondoka jijini Accra baada ya kusindikizwa na familia yake.
PLUIJM AKIWA NA MKEWE NA MTOTO WAKE WA KIUME. |
“Kila kitu kinakwenda
vizuri na sasa niko Uholanzi ambako nimeishaangalia mechi moja ya ligi,”
alisema.
Pluijm aliifundisha Yanga
kwa nusu msimu na kuifanya iwe tishio kutokana na kucheza soka la haraka na
nguvu.
Lakini aliamua kuondoka na
kwenda kujiunga na Al Shaola ya Saudi Arabia ambayo hata hivyo hakudumu nayo.
0 COMMENTS:
Post a Comment