December 29, 2014

Shabani Kisiga aliporejea Simba akitokea Mtibwa Sugar, alimkuta mchezaji mwenzake wa zamani, Selemani Matola akiwa kocha msaidizi.


Hivyo Matola ambaye walicheza na Kisiga kikosi kimoja cha Simba, ikawa ni mtu na bosi wake.

Sasa mambo hayo yamehamia Atletico Madrid wakati Fernando Torres ameamua kurejea nyumbani akitokea AC Milan kwa mkopo.

Torres anamkuta bosi wake mkuu ni Diego Simeone ambaye alicheza naye katika kikosi hicho kabla ya kuondoka na kujiunga na Liverpool.


Tena Torres licha ya kuwa kinda wa miaka 21, alipewa unahodha wa kikosi hicho.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic