December 29, 2014


Vikosi vya Yanga na Azam FC vilianza na wachezaji wa kigeni nane katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, jana.

Katika mechi hiyo, Azam FC ilianza na wachezaji wanne wa kigeni, hali kadhalika Yanga.

Wachezaji wa kigeni wa Yanga walikuwa ni Mbuyu Twite na Haruna Niyonzima (Rwanda), Amissi Tambwe (Burundi) na Kpah Sherman (Liberia).

Wakati kwa upande wa Azam FC, wachezaji wa kigeni walikuwa ni Serge Wawa, Kipre Tchetche (Ivory Coast), Brian Majwega (Uganda) na Didier Kavumbagu (Burundi).

Kwa upande wa benchi, Yanga ilikuwa na mchezaji mmoja wa kigeni Andrey Coutinho raia wa Brazil na Azam FC, haikuwa na mchezaji yoyote wa kigeni.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic