Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri ameamua kuchukua jukumu la kuwanoa makipa wake.
Hali hiyo inatokana na Simba kutokuwa na kocha wa makipa kwa kuwa yule raia wa Serbia, Zdravko Dejakic, 'bado hajatia maguu' Bongo.
Kutokana na hali hiyo, Phiri raia wa Zambia, ndiye amekuwa akimnoa Peter Manyika kuhakikisha anakuwa fiti.

0 COMMENTS:
Post a Comment