January 15, 2015

MESSI AKIZUNGUMZA NA RONALDO KATIKA HAFLA YA TUZO ZA BALLOND'OR...
Cristiano Ronaldo ameweka wazi kwamba mwanaye Ronaldo Jr ana ushabiki mkubwa kwa Lionel Messi.


Ronaldo amesema mara kadhaa mwanaye huyo wa kiume amekuwa akifuatilia kuhusiana na Messi.
“Amekuwa akiangalia video kadhaa za mabao ya Messi, anamuunga mkono,” alisema Ronaldo na kucheka.

Katika hafla ya tuzo za Ballond’Or, Ronaldo Jr alipata nafasi ya kumsalimia Messi.


Baba yake alifanikiwa kushinda tuzo ya tatu ya dunia ikiwa anashinda kwa mara ya pili mfululizo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic