Picha hiyo ilipigwa mwaka
2013 wakati wawili hao walipokutana.
Walipiga picha hiyo kama
marafiki lakini imeonekana kuwa ndiyo picha maarufu zaidi kutokana na kupendwa
na watu wengi hasa vijana.
Inaaminika ndiyo picha ya
watu nyota iliyosambazwa mitandaoni zaidi.
Pia wako ambao
wameitengeneza na kuwa kubwa, wakaiweka sehemu mbalimbali.
Hali hiyo imeonyesha
kuwashangaza wengi, kwani picha ya Ronaldo akiwa na mpenzi wake, Iryna Shayk
inaonekana kutokuwa hata na nusu ya umaarufu huo.








0 COMMENTS:
Post a Comment