Mkongwe, Ronaldo di Lima
amepanga kurejea uwanjani licha ya kuwa na umri wa miaka 38.
Ronaldo amesema ataichezea
timu yake anayoimiliki ya Fort Lauderdale Strikers inayoshiriki ligi daraja la
pili.
Hata hivyo Ronaldo
amewaambia waandishi atacheza kama kocha atakuwa anamhitaji.
“Naamini naweza kusaidia. Lakini
nitafanya hivyo kama kocha atakuwa ananihitaji,” alisema.
Mara ya mwisho alicheza
soka la ushindani mwaka 2011.









0 COMMENTS:
Post a Comment