Februari 18 ni siku muhimu sana
nchini China, ndiyo mwaka mpya wao unaojulikana kama Kondo.
Watanzania wanaosoma nchini humo
akiwemo mchambuzi maarufu wa michezo anayepatikana katika gazeti la Championi
Evance Mhando waliunga na Wachina.
Watanzania hao waliamua kusherekea
siku hiyo kwa kwenda pamoja kupanda mlima wa Meillin.
Katika kusherekea sikuku hiyo
umoja wa wanafunzi wa Kitanzania wanasoma kwenye mjii wa Nanchang (Natasa) uliandaa
safari ya kwenda kupanda mlima.
Mlima huo unaitwa Meilin uliopo
hapa hapa Nanchang ilikujumuia na jamii ya Kichina katika kusherekea sikuku ya
mwaka mpya wao.
Pamoja na Watanzania hao na
mchambuzi huyo wa michezo, pia alikuwepo Katibu Mkuu wa Natasa, Halima Guga na
Mratibu wa Elimu wa Natasa, Abdul Bashi wakiongoza msafara wa kupanda Mlima
Meilin.
Kwa pamoja Watanzania hao
waliimba kwa furaha, mara kadhaa wakiweka vituo kwa ajili ya kupumzika na
kupiga picha.
ANGALIA PICHA:

















0 COMMENTS:
Post a Comment