February 20, 2015

ALIYEBAGULIWA
Chelsea imewasimamisha mashabiki wake wengine wawili ili kupicha uchunguzi wa lile suala la ubaguzi wa rangi.



Awali Chelsea iliwasimamisha mashabiki watatu waliodaiwa kuhusika na tukio la ubaguzi wa rangi kwenye kituo cha treni jijini Paris, Ufaransa.


Mashabiki hao walikuwa njiani kwenda kushuhudia mechi katika ya PSG dhidi ya Chelsea katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Walimzuia Sulleyman, mweusi alipokuwa akijaribu kuingia kwenye treni. Walifanya hivyo huku wakiimba "sisi ni wabaguzi, sisi ni wabaguzi."

Uchunguzi bado unaendelea na Polisi wa Ufaransa na Uingereza wameanza uchunguzi kwa pande zote mbili.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic