Tottenham imepitisha kuanza
kujenga Uwanja mpya wa White Hart Lane ambao utagharimu kitita cha pauni
milioni 400.
Uwanja huo utakuwa na uwezo
wa kuchukua watazamani 56,000 walioketi.
Awali kulikuwa a pingamizi
mahakama kuu, lakini likatupwa na kutoa nafasi hiyo ya kuanza kujenga.
Kwa mujibu wa mtandao wa
timu hiyo, uwanja huo unatarajiwa kuwa umekamilika na kuanza kutumika katika
msimu wa 2018-19.












0 COMMENTS:
Post a Comment