Jengo la Samsa
linaloendelea kujengwa kwenye katika eneo la Kinondoni Biafra linazidi kupanda
juu katika anga la eneo la Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Tayari wamiliki wa jengo
hilo walishatoa taarifa za kuwakaribisha watu mbalimbali wakiwemo wadau wa
michezo kujitokeza kwa ajili ya kununua nyumba na kupangiza litakapokamilika.
Jengo hilo la kisasa kabisa
ndiyo jengo refu na kubwa zaidi katika eneo la Kinondoni na tayari limeishaanza
kuonekana kivutio.
Samsa Real Estate Ltd ni wataalamu wa
kujenga nyumba za kisasa kabisa katika sehemu mbalimbali za jijini la Dar es Salaam na wamekuwa kuzipangisha pamoja na kujiuza kwa bei nafuu kabisa.
0 COMMENTS:
Post a Comment