MSHAMBULIAJI MARIO BALOTELLI AMEFUNGA BAO LA TATU NA KUIWEZESHA LIVERPOOL KUIBUKA NA USHINDI WA MABAO 3-2.
BALOTELLI ALIYEKUWA AKISAKAMWA KWA KUTOFUNGA, AMEPACHIKA BAO HILO KATIKA DAKIKA YA 83 NA KUAMUA UBISHI WA MECHI HIYO BAADA YA KUWA KILA TIMU IMEFUNGA MABAO MAWILI.
LICHA YA KUFUNGA BAO HILO MUHIMU KWA LIVERPOOL NA KWAKE PIA, BAADA YA MECHI, BALOTELLI HARAKA ALIKIMBIA VYUMBANI. |
0 COMMENTS:
Post a Comment