Beki David Luiz alitoa kali ya mwaka katika
mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kufuta spray iliyopuliziwa na mwamuzi.
Luiz alifanya hivyo wakati mshambuliaji Zlatan
Ibrahimovic akitaka kupiga mkwaju wa faulo kwenda kwenye lango la Chelsea.
Aliona mpira ulipokuwa umewekwa haikuwa sahihi,
kuuweka mbele ya alama ya spray haikuwa sawa. Basi akafuta na kuweka rekodi ya
kuwa mchezaji wa kwanza kufuta spray baada ya mwamuzi kuipulizia sehemu husika.








0 COMMENTS:
Post a Comment