Steven Gerrard ameifungia timu yake mabao ya
kusawazisha wakati ikitoka sare ya 2-2 dhidi ya kikosi cha marafiki wa Jamier Carragher.
Mechi hiyo ya hisani kwenye Uwanja wa
Anfield, Liverpool imewavutia mashabiki wengi huku Didier Drogba na Mario
Balotelli wakifunga mabao upande wa kikosi cha Carragher.
Marafiki wa Carragher walikwenda mapumziko
wakiwa wanaongoza kwa mabao hayo mawili, kabla ya rafiki wa Gerrard nao kujibu.
0 COMMENTS:
Post a Comment