Bao la Mbrazil, Coutinho limeipa Liverpool ushindi wa bao 1-0 ikiwa ugenini dhidi ya Blackburn Rovers na sasa imesonga hadi nusu fainali ya Kombe la FA.
Kwa ushindi huo ambao umeamsha matumaini ya Liverpool angalau kubeba kombe moja msimu huu, sasa itakutana na Aston Villa Aprili 19.
Blackburn: Eastwood, Henley, Baptiste,
Kilgallon, Olsson, Evans, Williamson, Conway (Gestede 65), Cairney, Marshall,
Rhodes.
Subs not used: Nyambe, Spurr, Songo'o,
Lenihan, Steele, Mahoney.
Booked: Evans.
Liverpool: Mignolet, Johnson, Lovren, Sakho
(Toure 28), Moreno, Henderson, Lucas, Allen, Sterling, Sturridge (Lambert 85),
Coutinho.
Subs not used: Jones, Manquillo, Borini,
Brannagan, Markovic.
Goals: Coutinho 70.
Referee: Kevin Friend (Leicestershire).
Attendance: 28,415.
Jumamosi Aprili 18, 2015Reading vs Arsenal
Jumapili Aprili 19, 2015
Aston Villa vs Liverpool
(Mechi zote zitapigwa Uwanja wa Wembley)
0 COMMENTS:
Post a Comment