Kocha Luis
Enrique ambaye aliingia Barcelona akionekana hana lolote, sasa anaingia kwenye
wigo wa mashujaa.
Barcelona sasa
inawania makombe matatu na ina nafasi ya kutwaa mawili au yote.
Copa del Rey,
La Liga na Ligi ya Mabingwa Ulaya. Kinachotakiwa ni kupambana na kuyabeba.
Lakini kwa
wapinzani wao Real Madrid ambao makao makuu yao ni Santiago Bernabeu mambo ni
mabaya. Hakuna nafasi ya kuchukua kombe lolote na Cristiano Ronaldo anaonekana
atapoteza uchezaji bora wa dunia.
0 COMMENTS:
Post a Comment