Sadio Mane raia
wa Senegal barani Afrika amefunga mabao matatu na kuweka rekodi mpya ya hat
trick katika Premier League.
Mane amefunga
mabao matatu ndani ya dakika tatu wakati Southampton ikiivaa Aston Villa
iliyokuwa ugenini.
Rekodi ya Hat
trick ilikuwa inashikiliwa na mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Robbie
Fowler aliyefunga mabao matatu
ndani ya dakika tano.
Rekodi hiyo ya
Fowler imeendelea kudumu kwa kipindi cha zaidi ya miaka nane.
0 COMMENTS:
Post a Comment