KABLA YA KAZI YA LEO, MAZOEZI YA MWISHO YA TAIFA STARS HAYA HAPA Taifa Stars jana imefanya mazoezi ya mwisho kabla ya mechi yake ya leo ya michuano ya Cosafa dhidi ya Swaziland. Michuano hiyo inafanyika nchini Afrika Kusini na tayari kazi imeanza huku Watanzania wakitegemea kuiona Stars inaanza kwa kishindo leo.
0 COMMENTS:
Post a Comment