England alionekana hafai
akiwa na Chelsea na baadaye Tottenham Hotspur.
Lakini sasa Kocha Andre
Villas-Boas ni shujaa. Kwani ameiwezesha timu yake ya Zenit St Petersburg kubeba
ubingwa wa Russia.
Zenit imebeba ubingwa huo
baada ya sare ya bap 1-1 dhidi ya Ufa, jana.
0 COMMENTS:
Post a Comment