May 16, 2015

MASAU BWIRE.
Masau Bwire ni mmoja wa wadau maarufu mno katiia mchezo wa soka nchini.


Yeye ni msemaji wa Ruvu Shooting, timu ambayo sasa imeteremka daraja hadi la kwanza.

Umekuwa ukimsikia na kumsaoma lakini kuna mambo yake kadhaa, haujawahi kabisa kuyasikia. Soma hapa.

Maajabu ya Masau:
Nyama:- Hali nyama ya mbuzi, ng’ombe, kuku wa ‘Kizungu’. Angalau kidogo amewahi kula ya kuku wa kienyeji.

Soda: Kabisa, hanywi soda ya aina yoyote ile, msimamo wake ni uleule, ni hatari kwa afya.

Samaki:- Kumbuka anatokea wilayani Bunda mkoani Mara, huko kuna Ziwa Victoria. Hivyo Masau anasema hajawahi kula samaki wa baharini na hatakula. Sababu anaamini baharini kuna uchafu mwingi na si salama!

Kazi:- Ameanza kazi ya ualimu mwaka 1994. Miaka miwili tu ndiyo amefundisha darasa la sita, baada ya hapo amekuwa akifundisha darasa la saba tu hadi sasa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic