Uongozi wa Azam FC, unatarajia kumtangaza
kocha wake mpya kesho.
Kocha anayetarajia kutangazwa atakuwa
Stewart Hall aliyewahi kuinoa katika vipindi viwili tofauti.
Taarifa zimeeleza, kimsingi Hall
ameishakubaliana na uongozi wa Azam FC na kilichobaki ni kuingia mkataba.
Chanzo kutoka ndani ya Azam FC, kimeeleza
kocha huyo ataungana na memba wa benchi la ufundi kutoka Uingereza ambao
anawaleta yeye.
“Kweli ni Stewart na anakuna na watu wake
kabisa, hivyo tusubiri kesho,” kilieleza chanzo.
0 COMMENTS:
Post a Comment