BRAZIL WAANZA KUJIANDAA NA MBIO ZA COPA AMERICA, WAJIPANGA KWA MECHI ZA KIRAFIKI KWANZA Brazil imeanza kambi kujiandaa na kuwania kucheza katika michuano ya Copa America. Chini ya kocha wake Dunga, Brazil imeanza mazoezi tayari kuivaa Mexico Jumapili katika mechi ya kirafiki kujiweka sawa. Pamoja na mechi nyingine ya kirafiki kabla ya kuanza kampeni hiyo kuwania kucheza Copa America.
0 COMMENTS:
Post a Comment