July 22, 2021

10 COMMENTS:

  1. Sio ya mabao lakini makombe yote yaluyokuwa mbele yao tena ni lazima kuanzia tarehe 25 na sherehe zipo mbioni

    ReplyDelete
  2. Hongera sana kwa kufanya usajili mzuri. Hata hivyo, jaribuni kutunza maneno yenu maana usajili wa magazetini tumechoka sana.

    ReplyDelete
  3. Tushawazoea hao wapiga kelele. Huku sarpong kule fiston iliishia wapi

    ReplyDelete
  4. Kama hufurahii kinachoandikwa juu ya Yanga fuatilia Cha Simba

    ReplyDelete
  5. Ahahaha, Kuna watu wanataka kutoana roho mtaa wa pili...

    ReplyDelete
  6. Yanga wanamkataa refa wa tarehe 25 na wanataka abadilishwe huenda ikwa fursa ya kuingia mitini kukimbia aibu ya kipigo

    ReplyDelete
  7. Haya kama wataamua hivyo au mmeandika. Mbona timu tayari ipo Kigoma? Ila wakigoma tukumbuke hii ni fainali siyo ligi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic