BAADA ya Uongozi wa Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti, Fredrick Mwakalebela kudai kuwa mkataba wa mchezaji wao wa zamani Bernard Morrison na mabosi wake wapya wa sasa Simba una mapungufu, uongozi wa Simba umetoa jibu la 'kimtindo'.
Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram alitupia ujumbe ukisindikizwa na picha ya Morrison akiwa ansaini ameandika kwamba :_
Yanga,si mnamuona huyu anavyozungumza?halafu tukicharuka atakimbilia kwa MO
ReplyDeleteSemeni CAS wameamuaje? acheni maneno
DeleteManara ndo aliyemsainixha morrison na alisema yanga wanamuonea bm na kwel haji anahuruma nae tuwaache ni makubaliano ya kihuruma
ReplyDeleteViongozi nao wanatutia aibu hadi kero kwan yameisha ya Yanga mpaka msemee timu nyingine ? Kama mmeshindwa kuiongoza timu tokeni kimyakimya
ReplyDeleteHii ni aibu kwa uongozi wa yanga. Kila siku kuchokonoa mambo ya simba, tulieni na mambo yenu, acheni kuwahadaa mashabiki wenu ndio maana mnawajaza hasira wanapiga watu ovyo. Mlisema mnaenda FIFA na CAS leteni majibu. Huo ni utoto chezeni mpira.
ReplyDeleteYanga hapa shabaha yao ni eti kuwababaisha Simba ili wapoteze mawazo yao hiyo tarehe 18 Yajuguuuu, msijidanganye wala msidanganye kwani siku hiyo Morrison ndipo atapolipa kisasi chake cha kubandikiwa saini feki na timu aliyoikataa
ReplyDeletewameamua kuwa Mawakili wa Morrison bila kuombwa... Utopolo ktk ubora wao
ReplyDeleteUtopolo chali Morrison anawafanya waweweseke nakuacha mambo yao. Hongereni viongozi wa utopolo kuwa kamera wetu kwa wachezaji
ReplyDeleteMorrison, Miquesson, Chama , Bwalya, Kagere dhidi ya Lamine Moro, Kibwana Shomari, Mwamnyeto, Yassini WATAWEZA KWELI!!!!!!!!!!!!! Utopolo walivyokuwa wanawapokea wakina Carlinhos walisema wataifunga simba 7 sasa mbona mnaanza kutetemeka jamani bado wiki mbili tu, Tunachoomba msirushe tu ngumi mana mpira ni burudani, upendo na kitu kingine tunaomba mjitokeze kwa wingi washabiki wa utopolo maana hamkawii kuikimbia timu yenu alafu uwanjwa ukajzwa na Simba tu
ReplyDeleteHuyo mwakalebela alifanya hivyo kwa chama akaishia kuomba radhi, sasa na hili nalo lisije likawa Kama la chama. Abafanya hivi akitaka kuvuruga amani kuelekea tarehe 18 watani wa jadi Simba tusitetereke tusimame imara Hawa Ni kuwachapa nyingi tu
ReplyDeleteTFF ilimshinda huyo mwakalebela akiwa kiongozi wa TFF.
DeleteKweli Hawa Ni utopolo na Emmy kocha wao aliyeondoka alisema Hawa utopolo Ni wanaofanana na.... Nikweli kbs, juzi mhamasishaji wao aliongea na vyombo vya hbr kuwa kila mmoja asemee klabu yake Leo hii wao ndo waisemea Simba. Kweli utopolo mzimu wa manji bado inawatafuna. Kikwete rais mstaafu alishawashauri Hawa utopolo zaidi ya maramoja lkn sikio la kufa halisikii dawa. Hawa kuwachapa tu tarehe 18 na kubeba makombe Kama kawa.
ReplyDeleteManeno mdomoni mpira uwanjan subir cku ifke ndo uchonge yasije kwa yale ya kuvunja viti kwa mkapa
ReplyDelete😆😆😆 Jana tu mmeanza kutoa povu.
DeleteVipi milloni 600 za Morrisoni zinaingia lini
DeleteSimba wana akili timamu hata wakikasirika hasira zao zinaishia kwenye viti? Yanga je hasira zao ni kupiga mashabiki wa Simba kama ilivyotokea mechi ya Mtibwa au kuchania mtu nguo eti kwa sababu kavaa nguo nyekundu kama ilivyokuwa siku ya mwananchi., Hivyo washenzi tunajua ni nani....viti sio binadamu...ndiyo maana Eimael alisema mbwa na nyani...hakuna ajua siri za nyumbani kama mwana nyumba..Hizo bao saba za kumfunga na Simba zianzeni na coastal basi...imekuw ni kamoja kamoja na mara nyingi baada ya dak 70.Hakuna tofauti na Yanga ya Zahera mwaka juzi
We fyatu kweli ko ukifunga goli 7 na moja wa7 anapewe point 10? Haya azam wamefunga moja moja na nyie wenye 7 mnamzidi azam
ReplyDelete