August 1, 2020



KAIMU Katibu Mkuu wa Yanga, Patrick Simon amesema kuwa hawajampa makazi mchezaji wao Bernard Morrison ila wanahusika kwenye kumlipia kodi.

Morrison kwa sasa yupo kwenye mvutano na klabu ya Yanga kwenye upande wa mkataba, Morrison anadai kuwa mkataba wake ni wa miezi sita umekwisha huku Yanga wakieleza kuwa ana dili la miaka miwili.

“Morrison hatukuwa tumempa makazi ila tulimwambia atafute nyumba sisi tutalipia kwa hiyo nikisema amehama makazi nitakuwa nadanganya kwa watanzania. 

"Ambacho tunakifanya sisi kwa sasa tunamlipia kodi na mpaka sasa hivi tunafanya hivyo.”



10 COMMENTS:

  1. Kuna kila dalili kwamba Yanga wamedhamiria kumdhuru Morrison kumkomoa.Na hii sio poa hata kidogo isipokuwa ni husda tu.Nafananisha sakata la Morrison na Yanga sawa na Mume aliekwenda kuposa kwa mbwembwe na kumuahidi binti wa gharama maisha mazuri lakini mwisho wa siku binti kaja kugundua jamaa ni fala tu. Sasa kwa mume kumng'ang'ania kwa nguvu binti wa gharama alieshindwa kumtimizia mahitaji yake ni kujitesa kiroho.Na mara nyingi binti akeshachefukwa moyo wake kwako na ukiendelea kulazimisha kuwa nae basi kitakachotokea ni kujipigisha kwa jirani yako mchana kweupe. Ifahamike Morrison sio tatizo la Yanga kufanya vibaya viwanjani na kwenye nyanja ya maendeleo ya klabu. Matatizo ya Yanga yapo kabla ya Morrison kuja Yanga.Alikuwapo makambo ni mzuri kuliko Morrisoni Yanga wakashindwa kumueka kutokana na unyonge wa kiuchumi.Tatizo la Yanga ni pale tu mchezaji wao anapotajwa kwenda simba. Shida huanzia hapo. Na tatizo jingine kubwa la Yanga hivi sasa ni kule kuwa na mawazo yakwamba wao wapo sawa na simba kwa kila kitu. Mpaka yanga watakapoamka na kuamini kuwa jirani zao Simba tayari wameshabadilika kwenye mambo kadhaa yanayowafanya kuwa bora kiuchumi na kiuendeshaji wa timu yao. Yanga itaendelea kutabika kwa Simba. Iangalie Simba,Kuna Mohamed Mo pale achana na utajiri wake,maana sio siri Mohamed Mo ni tajiri tena mkubwa tu lakini utajiri wa Mo kwa simba si pesa peke yake tu, huyu ni msomi mzuri kwenye masuala ya uendeshaji wa kibiashara mkakati ni kuiendesha simba kikampuni zaidi,kampuni inayojiendesha na kulikamata soka la Afrika. kwa hivyo akili yake ni utajiri mkubwa zaidi ndani ya Simba ingawa kuna mambo na watu kadhaa walijaribu kumuwekea vikwazo ndani ya Simba ila kwa pressure ya watanzania kwa maana ya wanachama na wapenzi wa simba huwezi kumuondoa Mo kwenye mioyo yao otherwise simba kitawaka. Vile vile simba wana CEO wao Sinza masinginza inawezekana kabisa kuwa simba wanatumia gharama kubwa kumugharamia huyu bwana kwani ni miongoni mwa watu wenye brain kubwa katika usimamizi wa maendeleo ya klabu lakini tayari bwana huyu ameshafanya mengi ya manufaa ndani ya Simba. Umesikia kuwa Lousi miquisoni kuna klabu kadhaa za ulaya zinamulizia. Ni sinza masinginza ndie aliefanikisha kumleta hapa tz. Angalia benchi la ufundi la simba lilivyokamilika kuanzia wataalam wa mazoezi ya mwili hadi ya kiufundi wa mpira uwanjani na kadhalika na na kadhalika. Mambo haya ya Simba yanahitaji gharama. Na Licha ya kipato chote cha simba lakini bado nnaimani simba inajiendesha kihasara kunahitaji uvumilivu mwanzo huwa mgumu lakini kuna nuru ya wazi ya maendeleo pale simba hivi sasa. Sasa ya kujiuliza kama Simba yenye vyanzo kadhaa vya mapato vinavyoangaliwa kwa karaibu uingiaji wake na matumizi yake lakini bado wanajiendesha kihasara vipi yanga yenye Giza nene kwenye suala la uongozi hali itakuwaje? Yanga wanatakiwa kufanya mabadiliko ya kiundeshaji wa klabu yao tena haraka ili kuwa na timu yenye ushindani wa kweli la sivyo msimu unaokuja yanga itakuwa timu ya kawaida sana waache siasa.Uimara wa timu sio kutangaza majina ya wachezaji wenye uwezo kila unapofika msimu wa uasjili huko ni kuwalaghi wanayanga kwani Yanga kuna matatizo makubwa na tatizo kubwa ni umasikini ndani ya Yanga.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Maelezo marefuuuu una ushaidi wa hilo huyo mchezaji hivi kwa akili za kawaida unamuona yupo sawa kweli??

      Delete
    2. We mkundu acha usenge wako,au una hamu ya kuingiliwa nini?

      Delete
  2. Ni vema wangelifanya uungwana wa kumhurumia kwani yeye ni binaadamu kuliko kumtesa kwani huenda ikswa ni mgonjwa na Yanga ni timu kubwa na inasifika kwa wingi wa huruma na kusameheana na sasa imekuwa viongozi wanalipwa mbele tatizo la Morison mmoja kuliko kuliko Yanga ya zaidi ya miaka 80.

    ReplyDelete
  3. IF YOU WANT TO SEE FAR YOU MUST STAND ON THE SHOULDERS OF THE GIANTS, WHO IS THE GIANT.……... LETS WAIT AND WATCH THE MOVIES.

    ReplyDelete
  4. Ushawahi Kuona Timu Gani Inamuachia mchezaji wao Mwenye mkataba Bure??

    ReplyDelete
  5. Akuna mchezaji anaeachiwaga aondoke akiwa na mkataba ko use sure brain 2 fllng

    ReplyDelete
  6. Yaani nimepoteza muda wangu bure kusoma maelezo ambayo ni ya kishabiki tu,kiufupi huyu dogo Morrison kama kweli mkataba wake ulikuwa unaishia mwezi wa saba tar 15,Mpaka sasa hapa bongo anasubir nini kuondoka wakati anajua mkataba wake umeisha?

    ReplyDelete
  7. Akafie mbele huko yanga ya sasa sio ya kubembelezana ndio tunataka mashabiki

    ReplyDelete
  8. Akafie mbele huko yanga ya sasa sio ya kubembelezana ndio tunataka mashabiki

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic