 |
| AME 9KUSHOTO) AKIWA NA UZI WA AZAM FC. |
Aliyekuwa mshambuliaji nyota wa Mtibwa Sugar, Ame Ali,
ametua Azam FC.
Ame amesajiliwa na Azam FC kwa mkataba wa miaka
miwili.
Mshambuliaji huyo alikuwa kati ya waliotikiza mzunguko
wa kwanza, lakini wakapunguza kasi katika mzunguko wa pili.
0 COMMENTS:
Post a Comment