Mohammed Fakhi ni kati ya wachezaji wapya
watakaoitumikia Simba msimu mpya.
Fakhi amejiunga na Simba akitokea Ruvu JKT.
Beki huyo alikuwa kati ya waliofanya vizuri msimu uliopita na sifa yake moja ni
mpira uende, mchezaji abaki.
Maana akizidiwa anavuta, ili mradi
kuhakikisha mchezaji wa timu pinzani hapiti. Lakini akiona mpinzani ni
msumbufu, basi “anakula” zote.
Angalia picha hizo mbili, juu akijaribu
kuwadhibiti Danny Mrwanda wa Yanga hali kadhalika kiungo, Haruna Niyonzima wa
Yanga pia.









0 COMMENTS:
Post a Comment