June 30, 2015


Mshambuliaji Donald Ngoma amefuzu vipimo kwa ajili ya kujiunga na Yanga.

Pamoja na Ngoma raia Zimbabwe kufuzu vipimo hivyo, Zuttah Teteh raia wa Ghana naye amefuzu vipimo hivyo.

“Kweli wamefuzu vipimo kwa zaidi ya asilimia 90, vimebaki vipimo vipimo viwili tu ambavyo haviwezi kuwa tatizo,” alisema Juma Sufiani, daktari wa Yanga.


Maana yake Yanga itafanya mchakato wa mwisho leo kwa ajili ya wachezaji hao kusajiliwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic