December 29, 2019

 
Meneja Uhusiano na Mawasiliano SportPesa Tanzania Bi Sabrina Msuya akikabidhi vifaa vya michezo kwa uongozi wa  timu ya mpira wa miguu ya Ivo Mapunda uliyopo Kitunda , Dar es Salaam ikiwa kama moja ya mipango yao ya kila mwaka , kurudisha fadhila kwa jamii hasa kwenye sekta ya mpira wa miguu.






Meneja Uhusiano na Mawasiliano SportPesa Tanzania Bi Sabrina Msuya akizungumza na timu ya Ivo Mapunda iliyopo Kitunda Dar es Salaam juu ya changamoto mbalimbali wanazopitia  na kukabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya mpira wa miguu ya Tabata combine ikiwa kama moja ya mipango yao ya kila mwaka , kurudisha fadhila kwa jamii hasa kwenye sekta ya mpira wa miguu.. 


Meneja Uhusiano na Mawasiliano SportPesa Tanzania Bi Sabrina Msuya akikabidhi vifaa vya michezo kwa uongozi na baadhi ya wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Tabata Combine iliyopo Tabata, Dar es Salaam ikiwa kama moja ya mipango yao ya kila mwaka , kurudisha fadhila kwa jamii hasa kwenye sekta ya mpira wa miguu



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic