June 30, 2015

Kikosi cha Taifa Stars chini wazalendo wakiongozwa na Charles Boniface Mkwasa kimeendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam.

Kikosi hicho kinajiandaa na mechi dhidi Uganda kuwania kucheza michuano ya Chan. Mechi hiyo inachezwa wikiendi hii jijini Kampala.
Tayari Stars ina deni baada ya kutwangwa mabao 3-0 ikiwa chini ya kocha Mart Nooij raia wa Uholanzi ambaye tayari ametupiwa virago.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic