Gor Mahia
imetinga nusu fainali ya Kombe la Kagame baada ya kuishina Malakia kwa mabao
2-1.
Mabao ya Gor
Mahia, yote mawili yalifungwa na Mganda, Geogrey Walusimbi.
Sasa Gor Mahia
itakutana na Al Kharthoum ya Sudan ambayo imeitoa shoo APR kwa kuichapa mabao
3-0.
Robo fainali
mbili za mwisho zitachezwa kesho huku timu za Tanzania, Yanga na Azam FC
zikikutana.
0 COMMENTS:
Post a Comment