Kiungo mkabaji na mchezaji wa Juventus, Arturo Vidal sasa ni mali ya Bayern Munich.
Mabingwa hao wa Ujerumani wamemwaga kitita cha pauni
milioni 28 kumpata Vidal halafu akaanguka wino kwenye mkataba wa miaka minne.
Leo amekamilisha usajili baada ya kumwaga wino jijini
Munich, Ujerumani.
Raia huyo wa Chile amesema kuwa Bayern ni moja ya timu
alizokuwa akiota kuzichezea.
0 COMMENTS:
Post a Comment