Tayari Kocha wa Yanga,
Pluijm amesema ameandaa wachezaji makini ambao watapiga penalti
zitakazopatikana wakati wa mchezo hata zile za mwisho wa mechi kama wakitoka
sare.
“Ilikuwa ni tatizo la kisaikolojia tu,
nimewaandaa wachezaji wangu vizuri kuweza kupiga penalti katika mchezo huu
kwani ni utaratibu wangu katika kila mechi tunayoelekea kucheza,” alisema.
Yanga ilikosa penalti tatu katika
michezo miwili ya kwanza kwenye michuano hiyo.
Katika mechi ya kwanza ya robo fainali
leo uwanjani hapo, Al Shandy ya Sudan itacheza na KCC ya Uganda.
0 COMMENTS:
Post a Comment