| UHURU SELEMANI (KUHOTO) WAKATI AKIWA SIMBA.. |
Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Uhuru Suleiman
Mwambungu amejiunga na Jomo Cosmos ya Afrika Kusini kwa ajili ya msimu ujao wa
Ligi Kuu ya Afrika Kusini (ABSA) akiwa huru.
Msimu uliopita Uhuru aliichezea Mwadui FC kwa
mkopo akitokea Simba na kuisaidia kupanda kucheza ligi kuu msimu ujao.
Nyota huyo na wachezaji wengine sita
walitambulishwa juzi kwenye mkutano na waandishi wa habari na mwenyekiti na
kocha wa klabu hiyo, Jomo Sono.







0 COMMENTS:
Post a Comment