CAVANI ATUPIA, AWEZESHA PSG KUBEBA KOMBE UFARANSA Straika Edinson Cavani amepiga bao na kuiwezesha PSG kuibuka na ushindi wa mabao 2-0. Ushindi huo dhidi ya Lyon umeiwezesha PSG kubeba Kombe la Ufaransa.
0 COMMENTS:
Post a Comment