August 22, 2015


YONDANI-YANGA (ANAPATA)
AME-AZAM (ANAKOSA)
TWITE-YANGA (ANAPATA)
KAPOMBE-AZAM (ANAPATA)
KAMUSOKO-YANGA (ANAPATA)
NYONI-AZAM (ANAPATA)
MWASHIUYA-YANGA (ANAPATA)
MIGI-AZAM (ANAPATA)
COUTINHO-YANGA (ANAPATA)
MORRIS-AZAM (ANAPATA)
3-3
TAMBWE-YANGA (ANAPATA)
WAWA-AZAM (ANAKOSA)
KASEKE-YANGA (KAPATA)
HIMID-AZAM (ANAPATA)
NIYONZIMA (ANAPATA)
BOCCO-AZAM (ANAPATA)
CANNAVARO-YANGA (KAKOSA)
KIPRE-AZAM (KAPATA)

SASA TUNAKWENDA KWENYE PENALTI
DK 90+3
DK 89 Timu zote zinaonekana kupoteza muda zaidi
Dk 87 YANGA WANAMTOA MSUVA ANAINGIA COUTINHO
Dk 86, Azam FC wanafanya shambulizi jingine kali, lakini juhudi za kipa Barthez zinawaokoa Yanga

DK 85 ANATOKA NGOMA, ANAINGIA DEUS KASEKE
DK 84 Yanga wanafanya shambulizi kali kwa kugongeana vizuri lakini Ngoma akiwa katika nafasi nzuri anashindwa kumalizia

Dk 82 AZAM FC INAMTOA DOMAYO, ANAINGIA AME ALLY ‘ZUNGU’
Dk 70, Tambwe anapiga krosi safi lakini Ngoma anashindwa kumalizia.

Dk 68, anatoka Mudathiri anaingia Jean Baptiste Mugiraneza

Dk 64, nafasi nyingine nzuri kwa Yanga, Tambwe anapiga shuti kali lakini linazuiliwa. Angeinua uso ingekuwa hatari zaidi maana Mwashiuya alikuwa katika nafasi nzuri zaidi.



Dk 61, Azam FC wanafanya kazi ya kuokoa baada ya krosi nzuri ya Mwashiuya
ini 

Dk 59 CANNAVARO ANALAMBWA KADI YA NJANO KWA KUMUANGUSHA FARIDI MUSSA

Dk 58, Mudathir anawatoka mabeki wa Yanga lakini anashindwa kumalizia kwa umakini

Dk 57 YANGA WANAMTOA SAID JUMA 'MAKAPU' ANAINGIA HARUNA NIYONZIMA
Dk 56, krosi safi sana ya Ngoma, inatua mguuni mwa Mwashiuya lakini analibutua tuuu
Dk 54, Kamusoko anatolewa nje baada ya kugongana na mchezaji wa Azam, nje Haruna Niyonzima anapashaDk 50, krosi nzuri ya Haji inaingia kwenye lango la Yanga, lakini Msuva anashindwa kuiwahi.

Dk 46-48 kunaonekana kuwa na hofu miongozi mwa timu zote, wanaanza kwa kubutuabutua sana

KIPINDI CHA KWANZA:

Mechi ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Azam FC, hadi sasa ni mapumziko na hakuna timu ambayo imeona lango la mwenzake.



Mechi hiyo imekuwa na ushindani mkubwa huku kuila upande ukionekana kuwa umejiandaa vilivyo na kufanya mashambulizi yawe ya zamu.

Azam FC ndiyo ilionekana kushambulia zaidi katika dakika 15 za mwanzo na kuwapa wakati mgumu Yanga huku Kipre Tchetche akionekana kuwa mwiba.

Nahodha wa Azam FC, John Bocco alipoteza nafasi mbili ambazo kama angetulia, angalau angeifungia Azam FC bao moja.

kuanzia dakika ya 20, Yanga walizidi kubadilika na kuanza kuwapa Azam FC wakati mgumu huku Geofrey Mwashiuya, Simon Msuva na Donald Ngoma wakiwapa mabeki wakati mgumu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic