MSHAMBULIAJI WA YANGA, JERRY TEGETE AMEANZA MAZOEZI NA KIKOSI CHA MWADUI FC AMBACHO KINAJIFUA KWENYE VIWANJA VYA LEADERS JIJINI DAR ES SALAAM. HATA HIVYO, PAMOJA NA KOCHA MKUU WA MWADUI, JAMHURI KIHWELO 'JULIO' KUSEMA TAYARI 'WANAYE' TEGETE, MCHEZAJI HUYO AMESEMA BADO HAWAJAMALIZANA NA MWADUI FC. LEO MWADUI FC IMEKUTANA NA KIPIGO CHA BAO 1-0 KATIKA MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA RUVU SHOOTING AMBAYO MSIMU MPYA ITACHEZA LIGI DARAJA LA KWANZA. |
0 COMMENTS:
Post a Comment