Ubingwa wa Kagame
umetolewa zawadi kwa tajiri namba moja nchini, Salim Said Bakhresa.
Leo ndiyo sikukuu ya
kuzaliwa ya Bakhresa anayeimiliki Azam FC.
Kocha wa Azam FC,
Stewart Hall amesema leo ni siku maalum kwa tajiri huyo asiye na mbwebwe na
ubingwa huo wameutoa kwa tajiri huyo.
Azam FC imeshinda
ubingwa huo kwa mara ya kwanza baada ya kuishinda Gor Mahia kwa mabao 2-0.
Timu hiyo imeshinda ubingwa kwa mara ya kwanza bila ya kufungwa hata bao moja.
0 COMMENTS:
Post a Comment