Kocha Mkuu wa Simba, Dylan Kerr ameamua 'kujiripua' kwa kumuanzisha mshambuliaji Pape N'daw katika mechi ya leo dhidi ya Prisons.
N'daw amekuwa akisota benchi na Kerr ameamua kumpa nafasi ya kikosi cha kwanza mara ya kwanza.
Kikosi Simba:
Agban, Hassan Kessy, Mohammed Hussein’Tshabalala’,
Isihaka Hassan, Juuko Murishid, Justice Majabvi, Simon Sserunkuma, Awadh Juma, Pape
N'dew, Joseph Kimwaga na Peter Mwalyanzi.
0 COMMENTS:
Post a Comment