October 22, 2015


Kocha wa Man United, Louis van Gaal amesema mshambuliaji wake Anthony Martial ni mpuuzi sana ni licha ya kufunga bao lililowapa sare ya 1-1 dhidi ya CSKA Moscow wakiwa ugenini katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.


Martial alishika mpira uliowapa wenyeji penalti na bao la kuongoza katika dakika ya 14 kabla ya yeye kusawazisha.

CSKA Moscow (4-4-1-1): Akinfeev 6, Fernandes 7.5, V Berezutski 6 (A Berezutski 40, 6), Ignashevich 6.5, Schennikov 6, Tosic 7, Wernbloom 6.5, Eremenko 6 (Panchenko 83), Musa 6.5, Dzagoev 6 (Cauna 87), Doumbia 7Ignashevich, Schennikov, Tosic, Wernbloom, Eremenko (Panchenko 83), Musa, Dzagoev (Cauna 87), Doumbia. Subs not used: Chepchugov, Nababkin, Milanov, Golovin.
Goals: Doumbia 15. 
Manchester Utd (4-2-3-1): De Gea 7, Valencia 6, Jones 6.5, Smalling 6.5, Rojo 6 (Blind 63, 6), Schweinsteiger 6 (Fellaini 45, 6), Schneiderlin 6, Lingard 6 (Depay 80), Rooney 6, Herrera 6.5, Martial 6. Subs not used: Romero, Mata, Carrick, Darmian.
Booked: Martial, Herrera, Fellaini.
Goals: Martial 65. 
MOM: Mario Fernandes 
Referee: Carlos Velasco Carballo (Madrid).
Attendance: 18,456.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic