Bondia Floyd Mayweather amechukua miaka 19 kufikia mafanikio
makubwa aliyokuwa nayo sasa.
Bondia huyo mwenye mbwembwe ameamua kuanika mikanda yake yote
22 aliyoshinda kutoka katika mashirikisho ya WBC, WBA na IBF.
Mkali huyo amepanda ulingoni katika mapambano 49 ya kulipwa
bila ya kupoteza hata moja.
DAILY MAIL
0 COMMENTS:
Post a Comment