Mbeya City imeamka baada ya kuichapa African Sports kwa bao 1-0.
Bao pekee la Mbeya City lilifungwa na Geofrey Mlawa.
Mechi ya mwisho ya Mbeya City ililala kwa bao 1-0 ikiwa nyumbani dhidi ya Simba.
Mechi hiyo ilikuwa ngumu, hata hivyo kila upande ulipoteza nafasi
kadhaa za kufunga ambazo zingeweza kuwapatia mabao zaidi.
0 COMMENTS:
Post a Comment