Kweli mshambuliaji nyota wa Barcelona, Lionel Messi ni
majeruhi, lakini Barcelona bado ina ‘watu’.
Neymar amethibitisha hilo baada ya kuifungia mabao
mawili wakati ikiitandika Villareal kwa mabao 3-0 katika mechi ya La Liga.
Aliyemalizia kazi hiyo ni mtukutu Luis Suarez ambaye alifunga bao hilo moja.
0 COMMENTS:
Post a Comment