December 22, 2015


Arsenal imeitwanga Man City kwa mabao 2-0, lakini inaendelea kubaki katika nafasi ya pili ikiwa na pointi 36 nyumba ya Leicester City yenye 38 katika msimamo wa Ligi Kuu Engaland.

Ikiwa nyumbani Emirates, Arsenal ilitawala saehemu kubwa ya mchezo huo hadi Theo Walcott na Olivier Giroud walipotupia kila mmoja bao moja.

Bao la Man City lilifungwa na Yaya Toure katika dakika ya 82 lakini Arsenal wakaendelea kupoteza nafasi kadhaa za kufunga.

Wolfred Bony aliyeingia kipindi cha pili, naye alionekana kuwa miba kwa Arsenal ambao walitumia muda mwingi hasa katika dakika 10 za mwisho kujilinda zaidi.

Arsenal: 
Cech, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Flamini, Ramsey, Walcott, Ozil, Campbell, Giroud.
Subs: Gibbs, Gabriel, Ospina, Oxlade-Chamberlain, Chambers, Iwobi, Reine-Adelaide.

Man City: 
Hart, Sagna, Otamendi, Mangala, Kolarov, Fernandinho, Toure, Delph, Silva, Aguero, De Bruyne.
Subs: Sterling, Caballero, Bony, Jesus Navas, Clichy, Demichelis, Iheanacho.
Referee: Andre Marriner (West Midlands)











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic